Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Kunduchi Beach, Dar Es Salaam (6817 sqm)

Aina
Kiwanja (Commercial Plot)
Ukubwa
6817 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Hiki kiwanja kipo Dar Kunduchi beach, kina ukubwa wa SQM 6817, kama eka moja na nusu, ndani yake kuna nyumba ya ghorofa moja na nyumba ya kawaida, ni sehemu nzuri Sana kwa hotel, inauzwa USD 1, 600,000/=( milioni moja na laki 6,
Contact
0625584914















