Tafuta

Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Mpunguzi, Dodoma (2700 sqm)

Mpunguzi, Dodoma
1 month ago
Sh. 200,000,000

Aina

Kiwanja (Commercial Plot)

Commercial Plot for sale in Mpunguzi

Ukubwa

2700 SQM

Barabara ya Karibu

1km — Iringa Road

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Uzio

Maelezo

šŸ”„ KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA – MPUNGUZI, DODOMA šŸ”„

Je, unatafuta eneo bora kwa uwekezaji wenye faida? Hiki ni kiwanja chenye nafasi ya kipekee kilicho mbele ya barabara kuu ya Iringa!

šŸ“ Mahali: Mpunguzi, Dodoma
šŸ“ Ukubwa: SQM 2,700+
šŸ“„ Nyaraka: Zote zipo na ziko tayari kwa uhamisho.

āœ… Sifa za Kiwanja

* Kipo mbele ya lami na kinatazama Barabara Kuu ya Iringa.
* Kina fensi pande zote.
* Km 1 tu kutoka Mpunguzi Center.
* Takribani Km 35 kutoka Dodoma Mjini.
* Eneo lenye fursa kubwa ya maendeleo na biashara.

Linafaa Kwa:

⛽ Petrol Station (Sheli)
šŸØ Hotel / Lodge
šŸ„ Hospital
šŸ¢ Godown (Ghala)
šŸ¬ Biashara mbalimbali na uwekezaji mwingine wowote.

šŸ’° Bei: TSh Milioni 200
šŸ¤ Mazungumzo yapo kidogo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati.

šŸ“ž Mawasiliano:



Karibuni Bupalu Real Estate
Tunakuunganisha na fursa bora za uwekezaji Dodoma.

Bupalu Peter mulangwanda

dalali_bupa_tz_dodoma

@dalali_bupa_tz_dodoma

View Listings

Matangazo mengine Mpunguzi, Dodoma

Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Mpunguzi, Dodoma (2700 sqm)

Sh. 200,000,000

For Sale2,700 sqmNegotiable
Mpunguzi, Dodoma
Bupalu Peter mulangwanda