Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Msasani, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
YADI INAUZWA – MSASANI (Karibu na Shoppers Plaza)
📍 Eneo lipo Msasani
📐 Ukubwa: SQM 2,500
💰 Bei: USD Milioni 1.5 Fixed Price ( hamna mazungumzo)
✅ Eneo zuri kwa uwekezaji wa biashara, ofisi, apartments au maendeleo mengine ya kisasa kutokana na kuwa katika eneo lenye hadhi na shughuli nyingi.
Kuona eneo efu 50 tu
Karibu sana mteja.
0712392325















