Tafuta

Kiwanja kinauzwa Bigwa Madereke, Morogoro sqm 2100

video thumbnail
Bigwa, Morogoro
2 days ago
Sh. 30,000,000

Ukubwa

2100 SQM

Huduma na Sifa

Maelezo

๐ŸŒฟ๐Ÿก FURSA YA KIPEKEE YA KUMILIKI ENEO ZURI MOROGORO! ๐Ÿก๐ŸŒฟ

Wateja wetu wapendwa, tunapenda kuwajulisha kuwa kuna eneo zuri sana linauzwa Bigwa Madereke, Morogoro katika mazingira tulivu, salama na yenye mandhari nzuri ya kuvutia.

โœ… Ukubwa wa eneo: SQM 2,100
โœ… Eneo limeshapimwa rasmi
โœ… Nyaraka za umiliki za Serikali za Mitaa zinapatikana
โœ… Umeme upo karibu na unapatikana kwa urahisi
โœ… Maji yanapatikana
โœ… Views nzuri na mazingira bora kwa makazi au uwekezaji
โœ… Eneo linafikika kwa urahisi kupitia barabara nzuri

๐Ÿ’ฐ ๐๐„๐ˆ: Milioni 30 tu

Eneo hili linafaa kwa ujenzi wa nyumba ya kisasa, apartment, nyumba za kupangisha au uwekezaji wa muda mrefu kutokana na maendeleo yanayoendelea katika eneo hilo.

๐Ÿ“ Visit Site Fee: Tsh 30,000/=

๐Ÿ“ž Kwa mawasiliano zaidi na kupanga kutembelea eneo: 0678-517158 0785-517158

Usikose fursa hii ya kumiliki eneo lenye thamani kubwa katika moja ya maeneo mazuri ya Morogoro. Wahi leo!

Matangazo yanayofanana Bigwa, Morogoro

Kiwanja kinauzwa Bigwa Madereke, Morogoro sqm 2100

Sh. 38,000,000

For Sale2,100 sqmNegotiable
  • Umeme

  • Maji

  • Ardhi Iliyopimwa

Kiwanja kinauzwa Bigwa Madereke, Morogoro (2100 sqm)

Sh. 30,000,000

For Sale2,100 sqm
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Umeme

  • Maji

Kiwanja kinauzwa Bigwa Chilakale, Morogoro sqm 2800

Sh. 80,000,000

For Sale2,800 sqm
  • Umeme

  • Maji

  • Ardhi Tambarare

Kiwanja kinauzwa Bigwa Chilakale, Morogoro sqm 2800

Sh. 80,000,000

For Sale2,800 sqm
  • Umeme

  • Maji

  • Ardhi Tambarare

Kiwanja kinauzwa Bigwa, Morogoro sqm 2100

Sh. 40,000,000

For Sale2,100 sqmNegotiable
  • Umeme

  • Maji

  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Bigwa Makuti, Morogoro sqm 400

Sh. 5,000,000

For Sale400 sqm
  • Umeme

  • Maji

  • Karibu na Shule

Kiwanja kinauzwa Bigwa Makuti, Morogoro sqm 400

Sh. 5,000,000

For Sale400 sqm
  • Umeme

  • Maji

  • Karibu na Shule

Kiwanja kinauzwa Bigwa, Morogoro (1 acre)

Sh. 12,000,000/month

For Sale1 acreNegotiableInstallmentmonthly
  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Bigwa Misonge, Morogoro

Sh. 8,600,000

For SaleNegotiable
  • Umeme

  • Maji

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Bigwa Sisters, Morogoro (600 sqm)

Sh. 12,000,000

For Sale600 sqmNegotiableInstallment
  • Karibu na Barabara

  • Maji

  • Umeme

Kiwanja kinauzwa Bigwa Sisters, Morogoro (600 sqm)

Sh. 12,000,000

For Sale600 sqmInstallment
  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara