Tafuta
-
-

Kiwanja kinauzwa Biharamulo Mjini, Biharamulo, Kagera

 media -1
media -1
Sh. 8,000,000

Maelezo

OFFER YA KIPEKEE – BEI IMESHUKA!

HEKA 20 KWA MILIONI 8 TU

Nyamatongo – Biharamulo

Eneo hili linapatikana mita 200 tu kutoka barabara kuu ya lami (Biharamulo – Mwanza) na KM 9 kutoka Biharamulo mjini — mahali sahihi kwa makazi, biashara au uwekezaji wa muda mrefu.

UKUBWA WA ENEO
Heka 20 kamili

BEI
Milioni 8 TU
Bei inajadiliwa kwa mteja wa haraka

FAIDA KUU ZA ENEO

Umeme upo karibu
Maji yapo
Barabara ya uhakika (TARURA)
Mawasiliano (Network) imara
Eneo linaendelea kukua kwa kasi

ENEO LINAFAA KWA:

Makazi (Nyumba za kuishi au kupangisha)
Biashara mbalimbali
Kilimo cha kisasa
Uwekezaji wa miradi midogo na mikubwa

USIKOSE FURSA HII – SIMU NI NYINGI!
Piga sasa: 0651412247

Mmiliki yupo tayari – hati iko tayali