Kiwanja kinauzwa Chidachi Ntyuka, Dodoma (615 sqm)

Aina
Kiwanja
Ukubwa
615 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA DODOMA MJINI
Location: Chidachi Ntyuka
Sifa za kiwanja:
📍Kiwanja kina hati
📍Km 5 kutoka Dodoma mjini
📍Km 1 kutoka Sgr Dodoma
📍Kinafaa kwa makazi na Biashara
📍Miundombinu yote imefika kama vile maji,umeme na Barabara
📍Majirani tayari wapo
📍Ukubwa ni sqm 615
📍 Bei mil 15
Kwenda site ni bure na kila siku
Mawasiliano: 0768 333 054















