Tafuta

Kiwanja kinauzwa Dimani, Pwani (1056 sqm)

Dimani, Pwani
1 hour ago
Sh. 45,000,000

Huduma na Sifa

Ardhi Iliyopimwa
Inajitegemea
Foundation For Fence
Concrete Road Access

Maelezo

Writing
🏑 TUNAUZA KIWANJA DIMANI – JUU YA KILIMA 🌿✨
πŸ“ Sehemu nzuri sana, tulivu na yenye mazingira mazuri kwa makazi au uwekezaji.
πŸš— Ni takribani dakika 4–5 kutoka barabara kuu
πŸ›£οΈ Barabara ya ndani ni ya zege
πŸ“ Kiwanja kipo takribani laini ya 3 kutoka barabara ya zege
πŸ—οΈ Foundation ya uzio tayari imewekwa na eneo limezungushiwa msingi wa ukuta, hivyo ni hatua nzuri kwa anayetaka kuanza ujenzi.
πŸ“ Ukubwa wa kiwanja:
➑️ Urefu: 48m Γ— 44m
➑️ Upana: 24m
πŸ’° BEI: MILIONI 45 TU!
πŸ”₯ Kuna pia eneo/kiwanja kingine kikubwa karibu na eneo hili. Kama unahitaji eneo lote, kuna bei maalum kwa sehemu yote.
✨ Kama unatafuta sehemu tulivu kwa kujenga nyumba au eneo zuri kwa uwekezaji, hii ni nafasi nzuri kwako.
πŸ“ž MORE INFO:

Dalali Zanzibar

dalali_zanzibar_one_hd

@dalali_zanzibar_one_hd

View Listings

Matangazo mengine Dimani, Pwani

Kiwanja kinauzwa Dimani, Pwani (1056 sqm)

Sh. 45,000,000

For Sale1,056 sqm
Kiwanja kinauzwa Dimani, Pwani (4800 sqm)

Sh. 130,000,000

For Sale4,800 sqm
Dalali Zanzibar