Tafuta

Kiwanja kinauzwa Fuoni, Zanzibar - Mjini Magharibi (912 sqm)

Zanzibar, Zanzibar
22 days ago
Sh. 65,000,000

Huduma na Sifa

Uzio
Karibu na Barabara ya Lami
nearHospital
Karibu na Shule
Karibu na Soko

Maelezo

#10000millionviewsviralvideo2026
🏑 KIWANJA KINAUZWA – FUONI, NJIA YA TAWAKAL (KABLA YA HOSPITALI)
Tunauza kiwanja kizuri kilichopo Fuoni, njia ya Tawakal, kabla ya kufika Hospitali ya Tawakal. Hii ni fursa nzuri kwa wanaotafuta eneo la kujenga nyumba ya kisasa au kufanya uwekezaji.
πŸ“ Ukubwa wa kiwanja: Mita 38 Γ— 24
Kiwanja hiki kipo katika mtaa mzuri, uliopangwa vizuri na wenye nyumba za kisasa. Eneo ni tulivu, salama, na linafaa kwa makazi pamoja na miradi mbalimbali ya uwekezaji.
Sifa za kiwanja:
Eneo la mita 38 Γ— 24
Tayari kimezungushiwa ukuta (fence) na gate imewekwa
Karibu na barabara ya ndani ya lami
Karibu na barabara kuu ya lami
Magari yanafika kwa urahisi
Karibu na Hospitali ya Tawakal
Huduma zote muhimu zipo karibu, ikiwemo maduka, migahawa, shule na usafiri
Hakina mgogoro wowote wa umiliki, hivyo unanunua kwa amani na uhakika
πŸ’° Bei: TZS Milioni 65 tu.
Maongezi yapo kidogo kwa mnunuzi mwenye nia ya kweli.
πŸ“ž Kwa maelezo zaidi au kupanga kwenda kukiona kiwanja, wasiliana nasi:

Dalali Zanzibar

dalali_zanzibar_one_hd

@dalali_zanzibar_one_hd

View Listings

Matangazo mengine Zanzibar, Zanzibar

Kiwanja kinauzwa Fuoni Kibondeni, Zanzibar - Mjini Magharibi (1260 sqm)
1

Sh. 80,000,000

For Sale1,260 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Kisauni – Mkunazi Samaki, Zanzibar (957 sqm)
1

Sh. 100,000,000

For Sale957 sqmNegotiable
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Tunguu Njia ya Nyambiza, Zanzibar (4200 sqm)
1

Sh. 9,000,000

For Sale4,200 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Kisauni – Mkunazi Samaki, Zanzibar (957 sqm)
1

Sh. 100,000,000

For Sale957 sqmNegotiable
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Tunguu Njia ya Nyambiza, Zanzibar (4200 sqm)
1

Sh. 9,000,000

For Sale4,200 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Fuoni Kibondeni, Zanzibar - Mjini Magharibi (1260 sqm)
8

Sh. 80,000,000

For Sale1,260 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Fuoni Kibondeni, Zanzibar - Mjini Magharibi (1260 sqm)
8

Sh. 80,000,000

For Sale1,260 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Shakani, Zanzibar
1

Sh. 53,000,000

For Sale
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Tunguu Mahakama Kuu, Zanzibar - Unguja South (4200 sqm)
1

Sh. 15,000,000

For Sale4,200 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Tunguu Mahakama Kuu, Zanzibar (4200 sqm)
1

Sh. 15,000,000

For Sale4,200 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Fuoni Tawakal, Zanzibar (912 sqm)
1

Sh. 55,000,000

For Sale912 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Makunduchi, Zanzibar (935 sqm)
1

Sh. 40,000,000

For Sale935 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Kazole, Zanzibar (1828.8 sqm)
1

Sh. 3,500,000

For Sale1,828.8 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Kazole, Zanzibar (3600 sqm)
12

Sh. 3,500,000

For Sale3,600 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Kiwanja kinauzwa Fuoni Moroko, Zanzibar (500 sqm)
3

Sh. 80,000,000

For Sale500 sqm
Zanzibar, Zanzibar
Dalali Zanzibar