Kiwanja kinauzwa Goba Center, Dar Es Salaam (1004 sqm)
Aina
Kiwanja
Ukubwa
1004 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Karibu🙏🏾0711258592
✨Kiwanja kizuri mnoo panafaa sana kuwekeza apartments, hotel au nyumba yakuishi
✨Ukubwa wa kiwanja: SQMT 1,004
✨Location: Goba center
✨Barabara tambalale sana kwa aina yoyote ya gari
✨Bei : Million 130 (maongezi)
✨Documents : Ulasimishaji
✨MILIKI MMOJA
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:0711258592














