Kiwanja kinauzwa GOBA CENTER, Dar Es Salaam (500 sqm)

Maelezo
✨Kiwanja kizuri mno kinauzwa kinafaa kuwekeza apartments au nyumba yakuishi
✨Ukubwa : sqmt 500
✨Bei million 60 (maongezi yapo kidogo)
✨Location: GOBA CENTER
✨Umbali: kilometer 1
✨Documents: Serikali ya mtaa
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽kwa mawasiliano zaidi tupigie:0695511662















