Kiwanja kinauzwa Goba Center, Dar Es Salaam (645 sqm)
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 KIWANJA KINAUZWA – GOBA CENTER
📍 Eneo: Goba Center, Dar es Salaam
📌 Mtaa: Magorofani
📐 Ukubwa: 645 SQM
📜 Umiliki: Kimepimwa na kina Hati Miliki kutoka Wizara ya Ardhi
🛣️ Umbali kutoka Barabara ya Lami: Takriban mita 200
💰 Bei: TZS Milioni 110 — Mazungumzo yapo.
✨ Kiwanja kizuri katika eneo linalokua kwa kasi, kinafaa kwa ujenzi wa nyumba, apartments au uwekezaji wa muda mrefu.
📞 Kwa maelezo zaidi na viewing:
Skywing Real Estate Limited
📱
Setting a New Standard in Trusted Real Estate.
#SkywingRealEstate #GobaCenter #Magorofani #KiwanjaKinauzwa #LandForSale RealEstateTanzania DarEsSalaamRealEstate Uwekezaji PropertyInvestment LandInvestment TanzaniaProperty InvestmentOpportunity















