Kiwanja kinauzwa GOBA CENTER, Dar Es Salaam (700 sqm)







Goba, Ubungo, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 80,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
700 SQM
Huduma na Sifa
Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Ardhi Tambarare
Maelezo
Kiwanja kizuri sana kipo barabara kuu ya mtaa.
Kipo GOBA CENTER . Karibu na barabara ya Goba Road
▪︎ Kiwanja ni mkeka kabisa
▪︎ Kipo mtaa mzuri, unao jengeka vizuri
▪︎ Kipo mita chache kutoka lami
▪︎ Kimegusa barabara ya mtaa, kinafikika vizuri kwa 100%
Ukubwa ni SQM 700
BEI: TZS 80 Million (Maongezi yapo)
Full documents ✅️
Twanga simu, twanga simu 0767 891 406// 0785 682 800
#luganoorealestateagency #wekezagoba2026 #wekezanasi2026
