Tafuta

Kiwanja kinauzwa Goba Center, Dar Es Salaam sqm 710

video thumbnail
Sh. 100,000,000

Ukubwa

710 SQM

Maelezo

Tukiwa sire na Mmiliki wa kiwanja akituonyesha mipaka, na kutupo vidokezo kuhusu kiwanja hiki na bei yake..

`````````````````````````````

Kiwanja cha kujenga nyumba ya ndoto zako..

Ni 📍 Dar es salaam GOBA CENTER. Karibu na barabara

Kiwanja kipo mtaa mzuri

Kimegusa barabara ya mtaa. Kinafikika vizuri sana

SQM 710
BEI: TZS 100 Million. Maongezi yapo

Tupigie 0767 891 406 // 0785 682 800

#luganoorealestateagency

Matangazo mengine Goba, Dar Es Salaam