Tafuta
-
-

Kiwanja kinauzwa Goba Center, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
Sh. 185,000,000

Aina

Kiwanja

Huduma na Sifa

Ardhi Iliyopimwa
Corner Plot
Good Visibility

Maelezo

Kiwanja kikali sana, ni CORNER PLOT kimepanda bei.

Kipo GOBA CENTER

▪︎ Kipo tambalale
▪︎ Kipo kwenye kona ya barabara mbili kuu za mtaa
▪︎ Kinafikika vizuri sana.
▪︎ Kinaonekana vizuri. Good Visibility

KIMEPIMWA ✅️

BEI: TZS 185 Million (Maongezi yapo kidogo)

Piga: 0767 891 406 // 0785 682 800

#luganoorealestateagency #wekezagoba2026 #wekezanasi2026