Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam (500 sqm)
Goba, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 35,000,000
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
Kiwanja kizuri Sana kona plot kinauzwa:
Ukubwa-sqm 500
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 35 maongezi
Location - Goba mpakani
Umbali-Mita 100 kutoka Barabara ya lami mpya
Karibuni
dalaliimma bez bech















