Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam sqm 1000
Goba, Dar Es Salaam
9 hours ago
Sh. 205,000,000
Ukubwa
1000 SQM
Barabara ya Karibu
50m
Huduma na Sifa
Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
✍Millions 205 maongezi yapo
✍Location Goba njia ya mbezi Beach
✍Documents Hatimiliki ya wizala ya ardhi
✍Ukubwa wa plots Square meters 1000
✍Kinafaa kwa uwekezaji wowote ule
✍Apartments lorge Air BNB nahata kuishi N.k
✍Umbali kutoka lami meters 50
✍Service charge 50,000/=
✍Call No 0687800334 / 0714765041
✍Dalali J Fani plots & Apartments 🙏















