Kiwanja kinauzwa Goba kulangwa, Dar Es Salaam (750 sqm)

Goba, Ubungo, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 75,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
750 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
✍Millions 75 maongezi yapo
✍Ukubwa Square meters 750
✍Location Goba kulangwa
✍Umbali kutoka lami kilometers 1
✍Eneo ni kona plot
✍Kinafaa kwa uwekezaji wa Apartments lorge nahata kuishi n.k
✍Mbiozako zikuokoe Tajiri mtaa mzuri sana
✍Service charge 50,000/=
✍Call No 0687800334 / 0714765041
✍Dalali J Fani plots & Apartments 🙏
