Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa, Dar Es Salaam sqm 843

Ukubwa
843 SQM
Barabara ya Karibu
300m
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kizuri Sana kinauzwa:
Kipo mtaa mzuri Sana nani karibu na lami
Ukubwa-sqm 843
Kimepimwa hati bado
Bei-ml 85 maongezi
Location - Goba kulangwa
Umbali-Mita 300 kutoka main road
Karibuni
Dalali Tegeta 0718809744
0784234971















