Kiwanja kinauzwa Goba Kwa Awadhi, Dar Es Salaam sqm 710

Goba, Dar Es Salaam
16 hours ago
Sh. 100,000,000
Ukubwa
710 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Hiki kiwanja sio cha kuchelewa, utakikosa..
▪︎ Kiwanja kipo tambalale,
▪︎ Kipo jirani na barabara kuu ya lami ya Goba
▪︎ Kimegusa barabara kuu ya mtaa
▪︎ Kina fikika vizuri sana 100%
Kipo 📍 Dar es salaam GOBA KWA AWADHI
SQM 710 KWA TZS 100 Million (Maongezi yapo)
Tupigie / Whatsapp: 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency















