Kiwanja kinauzwa Goba Maghorofani, Dar Es Salaam (2000 sqm)









Aina
Kiwanja
Ukubwa
2000 SQM
Maelezo
Kiwanja kikubwa kizuri tunakiuza kizima au kwa kukata size yako.
Kiwanja kipo 📍 Dar es salaam GOBA MAGHOROFANI . Njia ya Mbezi Beach Masana.
Kiwanja kipo mtaa mzuri, na barabara za gari ni nzuri sana.
Jumla kuna SQM 2000 na zsixi (+). Tunakata ukihitaji size ndogo.
BEI: SQM 1 = TZS 145,000/= (Maongezi yapo kidogo).
Tupigie: 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency















