Kiwanja kinauzwa Goba njia ya makongo Juu, Dar Es Salaam (1600 sqm)

video thumbnail
Sh. 220,000,000

Aina

Kiwanja

Ukubwa

1600 SQM

Barabara ya Karibu

600m

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

✨Eneo zuri mno linauzwa linafaa kuwekeza apartments, hotel au nyumba yandoto zako

✨Ukubwa : sqmt 1600 (nusu 800 kwa million 110)

✨Location: Goba njia ya makongo Juu

✨Bei million 220 (maongezi yapo)

✨Documents: Ulasimishaji

✨Umbali kutoka lami mita 600

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie: