Tafuta

Kiwanja kinauzwa Ituha, Mbeya (914 sqm)

video thumbnail
Ituha, Mbeya
21 days ago
Sh. 22,000,000

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA – ITUHA-Mbeya

Eneo linauzwa lipo Ituha
Ukubwa: Sqm 914
Bei: Milioni 22 (mazungumzo yapo)

✔ Eneo zuri kwa makazi
✔ Linapatikana kwa urahisi
✔ Mazingira mazuri na tulivu

⚠️ Halina hati (linauzwa kwa mauziano halali ya mtaa/serikali ya kijiji)