Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kibada Block 4, Kigamboni, Dar Es Salaam (154 sqm)

Sh. 75,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kigamboni

Ukubwa

154 SQM

Barabara ya Karibu

500m

Huduma na Sifa

Maelezo

๐Ÿก CORNER PLOT INAUZWA โ€“ KIGAMBONI KIBADA BLOCK 4

Unatafuta kiwanja bora kwa makazi, biashara au uwekezaji? Hiki ndicho unachokitafuta!

๐Ÿ“ Eneo: Kigamboni, Kibada Block 4
๐Ÿ“ Ukubwa: Square Meter 154
๐Ÿ“„ Hati: Hati ya Wizara (imepimwa)
๐ŸŒŸ Aina: Corner Plot

Sifa za kiwanja:
โœ… Kipo kwenye mtaa mzuri na uliopangika
โœ… Kimezungukwa na nyumba za kisasa na maghorofa
โœ… Barabara kubwa inapita karibu na eneo
โœ… Umbali wa mita 500 tu kutoka barabara kuu
โœ… Kinafaa kwa nyumba ya makazi, biashara au uwekezaji
โœ… Mazingira tulivu na yenye maendeleo yanayokua kwa kasi. (Kigamboni MC)

๐Ÿ’ฐ Bei: TSh Milioni 75 tu!

Usikose nafasi ya kumiliki corner plot katika moja ya maeneo yanayokua kwa kasi zaidi Kigamboni.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na kupanga kwenda kukiona kiwanja.

MR. SMART PROPERTY โ€“ Tunakupatia viwanja bora Kigamboni!