Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kibada, Dar Es Salaam sqm 1400

video thumbnail
Sh. 170,000,000

Ukubwa

1400 SQM

Barabara ya Karibu

1km

Maelezo

🌿 KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI KIBADA 🌿

Fursa nzuri ya kuwekeza katika eneo linalokua kwa kasi la Kigamboni Kibada.

βœ… Ukubwa: SQM 1,400
βœ… Kimezungushiwa fensi pande zote
βœ… Kimepimwa na kina Hati ya Wizara
βœ… Bei: TZS 170,000,000 (mazungumzo kidogo yapo)

πŸ“ Mahali:

* Kilomita 1 kutoka barabara kuu
* Kilomita 7 kutoka Feri ya Kigamboni
* Kilomita 4 kutoka Daraja la Nyerere

Kiwanja hiki kinafaa kwa makazi ya kifahari, biashara au uwekezaji wa muda mrefu.

πŸ“ž0769554221

#trendingpost #istagram #realestateforsale #trendingnow #tanzania