Kiwanja kinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam

Aina
Kiwanja
Barabara ya Karibu
3km
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kizuri sana kimenyooka sanaa kimebaki kimoja tu wai ndugu mteja bei milioni 22
Kiwanja kipo kibamba shule Umbali wa km3 barabara imenyooka hadi saity
Kiwanja kinadocoument halali za mauziano kutoka serikali za mtaa
SEVCHAGE 30000 kwenda Kuona saity
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347















