Kiwanja kinauzwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam (360 sqm)
Kibamba, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 12,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Kwa Bei hiyo unakiachaje Kiwanja hiki
Njoo na Mil 12 tu nakupa Kiwanja hiki
Kina ukubwa wa SQMT 20 × 18
Kinafikika vizuri kabisa
Kipo KIBAMBA SHULE kanisa la KKT umbali wa meter 500 tu kutoka kanisani hapo
Service Charge 30,000
Contact:
+255 (0) 654 101 710
+255 (0) 787 205 300















