Kiwanja kinauzwa Kibamba Shule Kibwegere, Dar Es Salaam sqm 500
Kibamba, Dar Es Salaam
21 days ago
Sh. 25,000,000
Ukubwa
500 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA KIBAMBA SHULE KIBWEGERE SEC.
Ukubwa sqm 500
Bei Mil. 25
Kina majirani wa maana kinatazama barabara ya mtaa unaweza kuweka frame kwa mbele panafikika bila shida
Site visit 30,000/=
PIGA SIMU 0789O49684















