Kiwanja kinauzwa Kifuru, Dar Es Salaam sqm 400

Kinyerzi Kifuru, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 10,000,000
Ukubwa
400 SQM
Maelezo
VIWANJA VINAUZWA – KIFURU🔥
Fursa nzuri ya kumiliki kiwanja kwa bei nafuu!
📍 Location: Kifuru
🛣 Umbali: Takriban dakika 10 kutoka kituoni
🚗 Ufikiaji: Panafikika bila shida, barabara ni rafiki
📐 Ukubwa: 20 × 20 (SQM 400)
💰 Bei: Milioni 10 (FIXED)
📃 Sales Agreement
📌 Malipo:
* Dalali: 10% ya bei ya mauzo
* Service charge: TZS 20,000
📌 Matumizi:
* Makazi binafsi (ujenge nyumba yako ya ndoto)
* Uwekezaji (apartments/vyumba vya kupangisha)
🏘 Location ni nzuri na inaruhusu maendeleo ya haraka
📞 Piga sasa: +255 688 412 890
Karibu tajiri tufanye biashara – bei hii ni nafuu sana!

