Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kifuru Soweto, Dar Es Salaam (1000 sqm)

video thumbnail
Sh. 65,000,000

Maelezo

🏡✨ KIWANJA KIZURI KINAUZWA KIFURU SOWETO DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿 ✨🏡

Unatafuta sehemu nzuri ya kujenga makazi yako au kufanya uwekezaji wa apartments? Hiki hapa! 👇

📍 KIFURU SOWETO
📐 Sqm 1000
✅kiwanja kina fully Documented
✅Njoo ufunje ujenge Apartments kali
✅Tambarare kabisa
✅Huduma za kijamii zipo Kama umeme,shule,masoko,
✅Neighborhood nzuri sana

💰 BEI NI 65 million Tu

Fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji wa uhakika! 🔥
NIPIGIE CM CHAP 0744112394

Matangazo mengine Kinyerzi Kifuru, Dar Es Salaam