Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dege Mchikichini, Dar Es Salaam


Kigamboni, Kigamboni, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 35,000 per sqm
Aina
Kiwanja
Barabara ya Karibu
1.5km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Ardhi Iliyopimwa
Maelezo
🏡 VIWANJA VINAUZWA – KIGAMBONI, DEGE MCHIKICHINI
📍 Eneo zuri lenye maendeleo ya haraka
📍 Jirani kabisa na makazi ya watu
📍 Umbali wa km 1.5 tu kutoka barabara kuu
📍 Takribani km 23 kutoka Kigamboni Ferry
📍 Huduma zote za kijamii zinapatikana kwa urahisi.
✅ Viwanja vimepimwa rasmi na vina Plot Number.
💰 BEI MAALUM (Tsh 35,000/= kwa Sqm)
Sqm 741 = Tsh 25,935,000/=
Sqm 729 = Tsh 25,515,000/=
⚠️ Viwanja vilivyobaki ni hivi viwili tu!
📌 MPANGO WA MALIPO
Lipa kwa urahisi:
➡️ Anza na 70%
➡️ Malizia ndani ya miezi 3–6
🚀Hii ni fursa ya Kipekee
Hivi si viwanja vya kuacha —
wekeza leo kwa maisha ya sasa na baadae!
📞 Wasiliana nasi sasa:
0782438858
0658438858
