Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kimbiji Golani, Dar Es Salaam sqm 900

Kigamboni, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 17,000,000
Maelezo
Eneo linauzwa
Lipo Kigamboni Kimbiji Golani
Limezungushiwa fensi
Na kuna Nyumba ndogo ndani
Ukubwa ni SQm 900
Hati ni bureeeee
Bei 17M maongezi yapo
Call; 0716279427















