Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kimbiji Kwa Chale, Dar Es Salaam sqm 450

 media -1
media -1
Sh. 11,250,000

Ukubwa

450 SQM

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Maelezo

Fursa ya kumiliki Residential Plot katika eneo linalokua kwa kasi la Kigamboni Kimbiji Kwa Chale.

Location: Kigamboni Kimbiji Kwa Chale
Ukubwa: 450 SQM
Bei: TSh 11,250,000

Kwa nini uchague kiwanja hiki?
✅ Kinafaa kujenga nyumba ya familia
✅ Eneo linaendelea kuongezeka thamani kila siku
✅ Hati ni uhakika
✅ Malipo kwa awamu hadi miezi 12

#oasisrealestate #hatimilikiyaardhi #kigamboni