Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam sqm 640

video thumbnail
Sh. 140,000,000

Ukubwa

640 SQM

Barabara ya Karibu

400m β€” Kisota Street

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI KISOTA

Fursa adimu ya kuwekeza katika eneo linalokua kwa kasi!

πŸ“ Mahali: Kigamboni – Kisota
πŸ“ Ukubwa: SQM 640
πŸ“œ Hati: Hati ya Wizara ya Ardhi
πŸ’° Bei: TZS Milioni 140 (mazungumzo kidogo yapo)

Sifa za Kiwanja:

βœ… Mita 400 tu kutoka barabara kuu ya lami
βœ… Kimegusa barabara mpya ya lami ya Kisota Street
βœ… Kilomita 9 kutoka Ferry ya Kigamboni
βœ… Kilomita 7 kutoka Daraja la Nyerere
βœ… Eneo zuri kwa makazi au uwekezaji wa biashara

πŸ“ž 0769554221
πŸ“Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio