Kiwanja kinauzwa Kigamboni Mwembe Mdogo, Dar Es Salaam sqm 620

Ukubwa
620 SQM
Barabara ya Karibu
400m
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI MWEMBE MDOGO, DAR ES SALAAM 🔥
Fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi!
📍 Mahali: Kigamboni, Mwembe Mdogo
📐 Ukubwa: SQM 620
📄 Hali ya umiliki: Kimepimwa (Surveyed) na kina Hati ya Uthibitisho.
🛣️ Barabara: Kinagusa barabara kubwa ya mtaa.
📍 Umbali: Mita 400 tu kutoka barabara kuu, na takribani kilomita 1.5 hadi barabara ya Arusha.
🏘️ Mazingira: Eneo limeendelea sana, lina miundombinu mizuri na huduma muhimu za kijamii zinapatikana kwa urahisi.
🏠 Matumizi: Kinafaa kwa makazi, biashara au uwekezaji.
💰 Bei: Milioni 28 tu.
📞 Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi na kupanga kwenda kukiona.
💼 Service Charge: TZS 30,000
📲 Instagram: @dalali_kigamboni_plots_forsale
#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidaressalaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment Kigamboni















