Kiwanja kinauzwa Kijitonyama, Dar Es Salaam (600 sqm)

Aina
Kiwanja
Ukubwa
600 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
PLOT NZURI INATAZAMA LAMI INAUZWA
IPO Kijitonyama, barabara ya mama Salma kikwete, kabla ya daraja ukitokea tandale
Pazuri sana kwa apartments na mafremu ya biashara
Ukubwa-sqm 600
Umiliki leseni ya makazi
Bei ya sasa ni mil 330 mazungumzo kiduuchu
Contact call 0712531657
0789731695




















