Kiwanja kinauzwa Kiluvya Madukani Kwa Sumayi, Pwani (450 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA KILUVYA MADUKANI KWA SUMAYI
Ukubwa sqm 450
Bei Mil. 15
Mtaa hauna kipengere umenyooka
Umbali KM 2 Kuktoka Moro road usafiri bajaji ukishuka bajaji dakika 4 upo site
Kupelekwa kuona viwanja 25,000/=
0679447338
0753454167















