Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 50,000

Maelezo

KIWANJA SQM.900,TSHS.60 MILIONI,KIMARA-STOP-OVER.

Hapa ni umbali wa kilomita 1.5 tu kutoka Barabara ya Morogoro.

KIWANJA KIMEPIMWA( KIMERASMISHWA)

Mtaa umejengeka vizuri na panafikika kiurahisi.

_______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_______________mpg