Kiwanja kinauzwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam (440 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
📍 KIWANJA KINAUZWA – KIMARA MWISHO 🏡
✅ Ukubwa: SQM 440
✅ Kipo umbali wa km 1.6 kutoka Kituoni KIMARA MWISHO STAND
✅ Eneo zuri na linalokua kwa kasi
✅ Umeme na maji vyote vipo jirani
Kiwanja hiki kinafaa sana kwa makazi binafsi kwa wanaohitaji eneo lenye nafasi ya kutosha kwa familia. Pia ni chaguo bora kwa wawekezaji, kwani ukubwa wake unaruhusu ujenzi wa apartments au nyumba za biashara zenye nafasi nzuri ya maegesho na huduma nyingine muhimu.
💰 Bei: Milioni 33 Tu
📞 +255 (0) 654 101 710 / +255 (0) 787 205 300
💵 Service Charge: 30,000/=
Karibu ndugu mteja tufanye biashara.
Dalali Amani Kimara
Miliki Kesho Yako Leo!!! 🏠✨















