Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam (1400 sqm)

video thumbnail
Sh. 85,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kimara

Ukubwa

1400 SQM

Barabara ya Karibu

1.5km

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Karibu na Shule
Local Government
Good Neighborhood
Calm And Safe Environment

Maelezo

📢 PLOTI NZURI SANA INAUZWA –

📍 Location: Kimara Temboni

📏 Ukubwa: Sqm 1400
📍 Umbali: Km 1.5 kutoka barabara kuu
💰 Bei: Tsh Milioni 85 (maongezi yapo
✨ Sifa za Eneo: ✔️ Mtaa mzuri na wa kishua
✔️ Mazingira tulivu na salama
✔️ Njia nzuri – gari yoyote inafika hadi kwenye kiwanja
✔️ Huduma zote muhimu zinapatikana (maji, umeme, shule n.k)
✔️
📄 Hati: Mauziano ya Serikali za Mitaa (Local Government)
🔥 Eneo zuri kwa makazi au uwekezaji – usikose bahati i hii! Kwanda kuona 25k
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi 0711258592