Kiwanja kinauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam (240 sqm)

Maelezo
VIWANJA VINAUZWA KIMARA TEMBONI
1. Mita 20 kwa 12 mil.15
2. Mita 20 kwa 20 Mil. 25
UKIUNGANISHA VYOTE NI MILIONI 40 TU KARIBU SANA BOSS WANGU
Umbali KM 3 Kutoka Morogoro Road ni upande wa kulia kama unaenda Mbezi
Huduma zote za kijamii zipo hapa
Kupelekwa kuona viwanja 25,000/=
Contact:
0654 101710
0787 205300















