Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kimbiji Kwa Chale, Dar Es Salaam (653 sqm)

video thumbnail
Sh. 16,325,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kimbiji

Ukubwa

653 SQM

Barabara ya Karibu

300m

Awali

Inaruhusiwa

Maelezo

๐Ÿ“ Kigamboni โ€“ Kimbiji kwa Chale

Fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja cha 653 SQM katika eneo lenye ukuaji mkubwa wa uwekezaji.

๐Ÿ’ฐ Bei: TSh 16,325,000
๐Ÿ—“๏ธ Lipa kwa awamu hadi miezi 12

โœ… Umbali wa KM 30 kutoka Ferry
โœ… Mita 300 kutoka Barabara Kuu
โœ… KM 1.5 kutoka Baharini

Hiki si kiwanja cha kujenga tu, bali ni uwekezaji unaoendelea kuongeza thamani kila siku. Usisubiri bei zipande ndipo uanze kutafuta nafasi.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na kupanga ziara ya kutembelea eneo.
Oasis Real Estate Company Ltd โ€“ Tunakusaidia kumiliki ardhi kwa urahisi.

Matangazo mengine Kimbiji, Dar Es Salaam