Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Shule, Dar Es Salaam sqm 1000

video thumbnail
Sh. 200,000,000

Ukubwa

1000 SQM

Huduma na Sifa

Maelezo

🏑✨ KIWANJA KINAUZWA – KINYEREZI SHULE ✨🏑

πŸ“ Location: Kinyerezi Shule – Dar es Salaam
πŸ“ Ukubwa: SQM 1,000
πŸ“œ Hati Miliki ipo
πŸ’° Bei: Milioni 200

βœ… Kiwanja kipo ndani ya fence
βœ… Neighborhood nzuri sana na yenye utulivu
βœ… Eneo limejengeka vizuri na lina hadhi
βœ… Nafasi kubwa ya kutosha kwa matumizi mbalimbali

Hapa unaweza:
🏠 Kujenga nyumba yako ya kifahari na kubaki na space kubwa ya kutosha
🏒 Kujenga apartments za biashara
🏘️ Kujenga nyumba za kupangisha
πŸ“ˆ Kufanya uwekezaji wenye faida kubwa

Ni eneo zuri sana kwa makazi au biashara kutokana na mazingira yake mazuri na ukuaji wa eneo.

πŸ’Ό Service charge / Gharama ya huduma: 50,000/=
πŸ“ž Muhitaji piga: +255688412890

Karibu sana tajiri tufanye biashara 🀝

Matangazo yanayofanana Kinyerezi, Dar Es Salaam

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Shule, Dar Es Salaam sqm 1000

Sh. 220,000,000

  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Tambarare

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Shule, Dar Es Salaam sqm 1000

Sh. 220,000,000

  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Tambarare

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Kibaga, Dar Es Salaam sqm 1200

Sh. 220,000,000

  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Tambarare

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam sqm 450

Sh. 50,000,000

  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Mahakamani, Dar Es Salaam sqm 1600

Sh. 180,000,000

  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba inauzwa Kinyerezi Mskitini, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

  • Hati

  • Karibu na Stendi ya Mabasi