Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Ulongoni A, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 15,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kinyerezi

Ukubwa

400 SQM

Barabara ya Karibu

2min

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara
Inajitegemea
Corner Plot
Two Road Access

Maelezo

🏑 KIWANJA KINAUZWA – KINYEREZI ULONGONI A

πŸ“ Unatafuta kiwanja kizuri kwa makazi au uwekezaji? Hiki ndicho fursa sahihi!

πŸ“ Ukubwa: SQM 400 (20m Γ— 20m)
πŸ›£οΈ Kipo kona, kina barabara mbili na kinapakana na barabara ya mtaa.
πŸš— Dakika 2 tu kutoka barabara ya lami.

βœ… Kinafaa kwa:
β€’ Kujenga nyumba ya makazi.
β€’ Uwekezaji wa nyumba za kupangisha.

πŸ’‘ Unaweza kujenga:
🏠 Nyumba 4 za master, sebule na jiko na kila moja ukapangisha TSh 300,000 kwa mwezi.

AU

🏘️ Vyumba 6 vya master (chumba na choo) na kila kimoja ukapangisha TSh 200,000 kwa mwezi.

πŸ’° Bei: TSh Milioni 15
πŸ“Œ Udalali: 10%
πŸ“Œ Service Charge: TSh 30,000

πŸ“ž Muhitaji piga simu:

πŸ”₯ Wahi sasa! Kiwanja hiki kipo katika mazingira mazuri, kinachokua kwa kasi, na ni chaguo bora kwa makazi au uwekezaji.

Dalali Wakishua
Miliki Kesho Yako Leo!!!

Dalali Tabata

dalaliwakishua

@dalaliwakishua

View Listings
Dalali Tabata