Kiwanja kinauzwa Kisesa - Igekemaja, Mwanza (500 sqm)


Kisesa, Mwanza
1 day ago
Sh. 2,500,000
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Ardhi TambarareMaelezo
VIWANJA VINAUZWA KISESA - IGEKEMAJA
-viwanja viko karibu na barabara ya lami
-ukubwa wa kila kiwanja ni 25x20
-ruksa kununua kimoja au zaidi
-malipo ni cash au Kidogo kidogo
-bei Milioni 2.5 kwa kila kimoja
☎️










