Kiwanja kinauzwa Kisota, Dar Es Salaam sqm 4000

Ukubwa
4000 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 KIWANJA CHA UWEKEZAJI KINAUZWA KIGAMBONI KISOTA USHUANI 🔥
• Ukubwa: Sqm 4,000 sawa na heka 1
• Kina Hati ya Makazi
• Kipo ndani ya fensi
• Kimegusa barabara ya mtaa
• Ni kona plot
• Mazingira mazuri sana kwa uwekezaji
✅ Kinafaa kwa:
* Kujenga apartment
* Real estate project
* Kugawa viwanja na kuuza
* Biashara mbalimbali za maendeleo
📍 Eneo linaendelea kukua kwa kasi na lina potential kubwa ya uwekezaji wa muda mrefu.
💰 Bei: Milioni 620
📝 Maongezi kidogo yapo
Karibu sana kwa maelezo zaidi na viewing.
#trendingvideos #istagram #tanzania🇹🇿 #realestateforsale #trendingsongs















