Kiwanja kinauzwa Mabwepande/Mji Mpya, Dar Es Salaam (2000 sqm)

video thumbnail
Sh. 25,000,000

Aina

Kiwanja

Ukubwa

2000 SQM

Barabara ya Karibu

100m — BUNJU/MABWEPANDE

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

KIWANJA SQM.2,000, TSHS.25 MILIONI,MABWEPANDE/MJI MPYA.

Ni Kiwanja kizuri,
Tambarare na ambacho kipo umbali wa Mita 100 tu kutoka Barabara kubwa BUNJU/MABWEPANDE.

Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

_______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

________________mpg

Tafuta unachotaka Mabwepande, Kinondoni, Dar Es Salaam