Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam (800 sqm)

Madale, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 88,000,000
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Site Visit BureMaelezo
🏡 KIWANJA KINAUZWA – MADALE 🏡
📍 Mahali: Madale🛣️ Umbali kutoka lami: Km 1
✅ Ukubwa: 800 SQM💰 Bei: TZS Milioni 88 (Mazungumzo yapo)
✨ Kipo kwenye mtaa mzuri na tulivu, kinachofaa kwa:
Kujenga nyumba ya kuishi
Uwekezaji wa Apartments
Site Visit 30,000
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga Site Visit.
Contact: 0711258592















