Kiwanja kinauzwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Madale, Dar Es Salaam
2 months ago
Sh. 120,000,000
Aina
Kiwanja
Vyumba
2
Ukubwa
1000 SQM
Barabara ya Karibu
100m
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na BarabaraMaelezo
KIWANJA KIZURI KINAUZWA, MITA 100 NA LAMI
Kipo mtaa mzuri Sana na ndani yake kuna kijumba cha room 2 na sebule
Eneo-sqm 1000 kimepimwa hati bado
Bei - ml 120 maongezi
Location - madale mivumoni jirani na Reca hotel
Umbali-Mita 100 kutoka lami
0745559598 call/wasap















