Kiwanja kinauzwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam (1200 sqm)






Madale, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 1,550,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kizuri Sana kona plot kinauzwa:
Kipo mtaa mzuri Sana wa kishua
Ukubwa-sqm 1200
Umiliki-hati miliki
Bei-ml 155 maongezi
Location - madale mivumoni block 6
Umbali-mita 100 kutoka lami
DALALI KIMARA SUKA LEONARD















