Kiwanja kinauzwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam sqm 2400





Ukubwa
2400 SQM
Barabara ya Karibu
100m
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kizuri sana kinauzwa: Kipo ndani ya fensi na Kuna nyumba kubwa ya kisasa na mabanda ya kuku Eneo-sqm 2400 Umiliki-mauziano serikali za mtaa Bei-ml 350 maongezi Location- madale mivumoni Umbali-mita 100 kutoka lami















